Picha zinazoonesha uhalisi wa kuhuzunisha wa dunia ya leo na ijayo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Sura bandika zenye ready made makeup.. Hakuna haja ya kujipodoa tena. Tumeshakuwa na kila kitu cha bandia mpaka akili ya bandia sasa ipo. Inaitwa akili mnemba.



Maisha ya social networks yamejaa uhalisia bandia. Unachokiona mtandao ni sivyo kilivyo katika uhalisia wake



Saa nyingine kinachooneshwa sivyo kilivyo katika uhalisia wake



Nguvu ya amri na dhana ya survival of the fittest. Wenye nguvu ndio watatawala😭



Manmade problem. Hatuna wa kumlaumu



Uhalisia wa mahusiano ya kileo.. 😭 moyo wa mtu ni kiza kinene



Kila mtu leo ni CCTV



Ukitoa msaada acha camera nyumbani



Ibilisi wa muda. Social media



Tumezika kabisa vipawa vya kusoma vitabu







Hata wewe uko hapa😀



 
Mabadiliko huwa yanashangaza, lakini jambo la kushangaza pia....hayazuiliki!!
 
View attachment 3170112saa nyingine kinachooneshwa sivyo kilivyo katika uhalisia

View attachment 3170112saa nyingine kinachooneshwa sivyo kilivyo katika uhalisia wake
Kivuli kinafanana na kikaragosi cha Pinocchio, Pinocchio pua yake ilikuwa inarefuka kwenda mbele Kila akisema uongo,kwahiyo huyo mtoa hutuba hapo anadanganya.
View attachment 3170112saa nyingine kinachooneshwa sivyo kilivyo katika uhalisia wake
Kivuli kinafanana na kikaragosi cha Pinocchio, Pinocchio pua yake ilikuwa inarefuka kwenda mbele Kila akisema uongo, kwahiyo huyo mtoa hutuba hapo anadanganya.
 
Nimeikumbuka simulizi yake
 
mkuu habari nina shida sana na wewe pm yako imefunga
 
Noma sana ukianzia mwanzo wa hizo picha hadi mwisho lazima ukutane na tatizo au matatizo yako kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…