Picha zingekuwa zinatoa taswira ya mshindi basi Lissu ungekuwa huna chako!

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Hii kampeni ya kuhakikisha hakuna shina litakalochipua naona inafanya kazi sawasawa na mpaka kesho bado kazi inaendelea...



---------------------------------------------------------------
Picha ya chini anayemfaham huyu dada naomba amsalimie nampa πŸ‘Š yake na πŸ™.

 
Kaonesha mapenzi ya dhati,lkn muhimu kuliko yote ni tarehe 28.
 
Tuache utani huyu dada amejaaliwa mashallah si haba...
 
Kwakweli Chadema hawanaga mademu flat screen ni sofa tupu.ni basi tu ila ningekuwa mwanachama wao ningetafuna sana nyama mbichi.
Chichiem kuna wale wanawake wenye miili nyumba,watu wa mviringo waliojazia mbele na nyumba,full vitambi huku mgongo na makalio vikiwa vimeungana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…