Pichani ; Mnyama mkali Simba sc akiwa mazoezini kumuwinda Coastal Union #TunaitakaFainali

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Kikosi cha kilabu ya mnyama mkali mwituni Paka fc, Wakiwa katika mawindo ya kumuwinda Coastal union fc katika mchezo utakaochezwa hivi karibuni.

Watu hao wasiofahamika na wasiojulikana wanajihusisha na shughuli gani nchini, walionekana wakikimbia kimbia na kuruka ruka hapa na pale pasipokuwa na shughuli maalum.


Paka, #GuvuZiro


 
Aahaaaaaa
 
duhh!!!bado wana moyo na mpira tu?
 
Aiseeee, we bro umenichekesha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…