Pichani ni mwaka 1937. kwa mara ya kwanza wanawake wawili walivaa nguo fupi na kupita barabarani walisababisha ajali

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Pichan ni mwaka 1937. kwa mara ya kwanza wanawake wawili
walivaa nguo fupi na kupita barabarani
waliteka akili za wanaume wengi na
kusababisha kutokea kwa ajali nyingi
harabarani

IMG_20191118_224245.jpg
IMG_20191118_224240.jpg
 
Mkuu,

Sidhani kama kuna ukweli kuhusiana na hilo.

Maana kama ni nguo fupi, zimeanza kuvaliwa na wasichana zamani hata kabla ya mwaka huo wa 1937 ingawa haikuwa kawaida sana.

Isitoshe picha zina viashiria vingi kuwa ni 'Staged', yaani zimetengenezwa.
 
Sio picha za kweli hizi
Mke wa adolph hitrel alikuwa anavaa vichupi miaka kabla ya 1937 .
 
Mkuu,

Sidhani kama kuna ukweli kuhusiana na hilo.

Maana kama ni nguo fupi, zimeanza kuvaliwa na wasichana zamani hata kabla ya mwaka huo wa 1937 ingawa haikuwa kawaida sana.

Isitoshe picha zina viashiria vingi kuwa ni 'Staged', yaani zimetengenezwa.
Hata mimi sikubalini na msemo eti ''kwa mara ya kwanza wamevaa nguo fupi. Kabla ya hapo wanawake walikuwa wanatembea nusu uchi, wakiwa wamefinika sehemu ya mbele tu..
 
Tupia na wewe Kapicha kusapoti Pingamizi...!

"Maendeleo hayana Chama"...
Mkuu,

Sidhani kama kuna ukweli kuhusiana na hilo.

Maana kama ni nguo fupi, zimeanza kuvaliwa na wasichana zamani hata kabla ya mwaka huo wa 1937 ingawa haikuwa kawaida sana.

Isitoshe picha zina viashiria vingi kuwa ni 'Staged', yaani zimetengenezwa.
 
Ikitokea hawa watu wamefufuka naamini hapa duniani hawatakuwa na sehemu ya kuishi,maana sio sehemu rafiki kwao tena..
Sikuhizi makalio ya wanawake yanavaa ndala (bikini)
Zamani kulikua hakuna nguo kabisa, magome ya miti yalikua ndio nguo, kitakua cha ajabu nini kwa hao watu wa zamani wakati walikua wanatembea uchi...
 
Si ya kuogela hiyo mzee baba

ndio lakini hapo alipokuwa anapigwa hizi picha kuna watu wengi hivo sio sahihi kusema kwamba picha alizoleta ndio mara ya kwanza wanawake walivaa nguo fupi wakapita mbele za watu.zipo nyingine nyingi tu zinaonesha wanawake wanapita njiani na vi nguo vifupi na hakuna alitejali
 
Back
Top Bottom