britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Sio picha za kweli hiziMkuu,
Sidhani kama kuna ukweli kuhusiana na hilo.
Maana kama ni nguo fupi, zimeanza kuvaliwa na wasichana zamani hata kabla ya mwaka huo wa 1937 ingawa haikuwa kawaida sana.
Isitoshe picha zina viashiria vingi kuwa ni 'Staged', yaani zimetengenezwa.
alikuwa kifaa mke wake Hitler mkuu??Sio picha za kweli hizi
Mke wa adolph hitrel alikuwa anavaa vichupi miaka kabla ya 1937 .
Hehealikuwa kifaa mke wake Hitler mkuu??
Hata mimi sikubalini na msemo eti ''kwa mara ya kwanza wamevaa nguo fupi. Kabla ya hapo wanawake walikuwa wanatembea nusu uchi, wakiwa wamefinika sehemu ya mbele tu..Mkuu,
Sidhani kama kuna ukweli kuhusiana na hilo.
Maana kama ni nguo fupi, zimeanza kuvaliwa na wasichana zamani hata kabla ya mwaka huo wa 1937 ingawa haikuwa kawaida sana.
Isitoshe picha zina viashiria vingi kuwa ni 'Staged', yaani zimetengenezwa.
Halafu wakati huo kulikuwa hakuna ukimwi kulikuwa na magonjwa mengine tu ya zinaaHata mimi sikubalini na msemo eti ''kwa mara ya kwanza wamevaa nguo fupi. Kabla ya hapo wanawake walikuwa wanatembea nusu uchi, wakiwa wamefinika sehemu ya mbele tu..
Mkuu,
Sidhani kama kuna ukweli kuhusiana na hilo.
Maana kama ni nguo fupi, zimeanza kuvaliwa na wasichana zamani hata kabla ya mwaka huo wa 1937 ingawa haikuwa kawaida sana.
Isitoshe picha zina viashiria vingi kuwa ni 'Staged', yaani zimetengenezwa.
Zamani kulikua hakuna nguo kabisa, magome ya miti yalikua ndio nguo, kitakua cha ajabu nini kwa hao watu wa zamani wakati walikua wanatembea uchi...Ikitokea hawa watu wamefufuka naamini hapa duniani hawatakuwa na sehemu ya kuishi,maana sio sehemu rafiki kwao tena..
Sikuhizi makalio ya wanawake yanavaa ndala (bikini)
Lete ushahidiSio picha za kweli hizi
Mke wa adolph hitrel alikuwa anavaa vichupi miaka kabla ya 1937 .
Sehemu gani za mbele?Hata mimi sikubalini na msemo eti ''kwa mara ya kwanza wamevaa nguo fupi. Kabla ya hapo wanawake walikuwa wanatembea nusu uchi, wakiwa wamefinika sehemu ya mbele tu..
Si ya kuogela hiyo mzee baba
Si ya kuogela hiyo mzee baba
Sehemu za siri.Sehemu gani za mbele?
alikuwa kifaa mke wake Hitler mkuu??