Pichaz kali...nini lulu bana?!!hiki ndio kifaa cha young d...!jionee mwenyewe hapa...!

Pichaz kali...nini lulu bana?!!hiki ndio kifaa cha young d...!jionee mwenyewe hapa...!

kaka huyu mtt kweli honestly unaweza kumlinganisha na lulu?
 
mhhh
kule nyumba zile curtain poles ndo zimekuwa hanger.............mambo ya multi-use ama?!?!?!
eheheheheeeeeee
 
Ahaaaa,sasa akijitokeza mtu mwenye hela zake na kumchukua huyo bibie ina maana brother kaka atalia?Maana naona kama kaamua kumnadi vile.
Halafu hii tabia ya wanaume kujiremba kupitiliza ili waonekane wazuri na mapozi ya ajabu imeanzia wapi kwani?Kurembua kwingi mpaka basi.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Back
Top Bottom