Ahaaaa,sasa akijitokeza mtu mwenye hela zake na kumchukua huyo bibie ina maana brother kaka atalia?Maana naona kama kaamua kumnadi vile.
Halafu hii tabia ya wanaume kujiremba kupitiliza ili waonekane wazuri na mapozi ya ajabu imeanzia wapi kwani?Kurembua kwingi mpaka basi.