miguu yake ina matatizo gani?
Mh sioni tishio hapo, kweli kipendacho moyo . Mapenzi upofu.
Anaependa Chongo huita Kengeza...........
Mwenyezi mungu atustiri na watoto wetu..........Publishment ya mamake ambae ni celeb,style ya nguo na vipodozi anavyomuweka instagram anatarajia nn?this is 2015 ....mtandao ni balaaa jamani lindeni wapendwa wenu kwa kila namna.