Pichaz: Mtoto wa kajala ni tishio kwa uzuri kwa vibinti vistaa vyote hapa bongo

Pichaz: Mtoto wa kajala ni tishio kwa uzuri kwa vibinti vistaa vyote hapa bongo

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

paula%2Bkajala99.jpg

Basi tu kwa sababu mama yake ni staa lakini hana hizo sifa ulizotoa.
 
haka katoto matokeo ya form one si yameshatoka? kaende shule ss
 
Duh.Eti.ndo kamaliza darasa la saba. Kajala unamharib mtoto.huyu shule itamshinda
 
Anaependa Chongo huita Kengeza...........

Publishment ya mamake ambae ni celeb,style ya nguo na vipodozi anavyomuweka instagram anatarajia nn?this is 2015 ....mtandao ni balaaa jamani lindeni wapendwa wenu kwa kila namna.
 
Publishment ya mamake ambae ni celeb,style ya nguo na vipodozi anavyomuweka instagram anatarajia nn?this is 2015 ....mtandao ni balaaa jamani lindeni wapendwa wenu kwa kila namna.
Mwenyezi mungu atustiri na watoto wetu..........
 
Back
Top Bottom