Gogo la choo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 708
- 292
Safi sana..heri yake maana kuna wengine wameamua kufuga Mbwa tu..kuwa na mtoto ni issue pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kenyewe katavurugwa kama mama ake..............
Biashara ni matangazo - nahisi mama yake ndio kaweka hii picha hapa!Hivi ni sahihi watu wazima kuweka picha ya mtoto kwenye mtandao na kumjadili bila ridhaa ya wazazi wake?
Ana kautege na kamguu kamoja kafupi amuwahishe CCBRT badala ya kumleta huku..katafaa kwa matumizi ya bin Adam
Ana kautege na kamguu kamoja kafupi amuwahishe CCBRT badala ya kumleta huku..katafaa kwa matumizi ya bin Adam