"Pichu" imekuwa sio kivazi cha siri tena

"Pichu" imekuwa sio kivazi cha siri tena

samsun

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
7,386
Reaction score
5,965
Hi guys,

Kwanini wajameni imekuwa hivi, vazi la sirini kuwa hadharani kiasi hiki si za kike wala za kiume kwanini lakini. Madukani ziko hadharani, wamachinga wanatembea nazo mitaani, kwenye matangazo ndio usiseme hebu tuambiane ile siri ya zamani imekumbwa na nini?
 
labla sehemu uliokua unakaa wewe walikua wa siri ila ukiona mtu anafika sana nguo zake za ndani ujue kabisa ni mchafu upo hapo! alafu mwanaume havaagi pichu tengua kauli yako kijana
Kijana unajibizana na mimi au mtoa mada?
 
Imekua ni kwaida kukuta pch inauzwa mnadani tena bila aibu tena mwanaume sasa hv watu wametokwa na hya kabsa
 
Hii post ngumu kumeza hebu weka Picha tushushie kidogo
 
labla sehemu uliokua unakaa wewe walikua wa siri ila ukiona mtu anafika sana nguo zake za ndani ujue kabisa ni mchafu upo hapo! alafu mwanaume havaagi pichu tengua kauli yako kijana
Zinaitwaje zile tunazovaa ndani ............... kwani wewe umeshawahi kuziona nguo za ndani za watu wako unaowaheshimu wakiwa wamezianika ........ kwa kutoziona ina maana wao ni wachafu ........ (samahani kwa hili swali na ndio maana sikuwataja watu wako wa heshima wakina nani)
 
Kuna duka la mzungu kariakoo, anauza za -ke na -me, na watu wa jinsia zote wako busy tu kuchagua, kweli aibu imeondoka na EKARUSI
 
1468953839331.jpg
mzigo
 
PICHU Ni Sawa Na SHANGA Thamani Yake Nipale Iwapo Mwilini. Tofauti Na Hapo Ni Nguo Ya Kawaida Tu Kama Nguo Nyingine.
 
Back
Top Bottom