"Pichu" imekuwa sio kivazi cha siri tena

PICHU Ni Sawa Na SHANGA Thamani Yake Nipale Iwapo Mwilini. Tofauti Na Hapo Ni Nguo Ya Kawaida Tu Kama Nguo Nyingine.
Lakini huwa inahamasisha sana,mdada anapoichunguza kwa ajili ya kuinunua halafu umkute mdada mwenyewe mash allah.
 
Kco pichu tu, mbona cku iz hata hizo mnaita sehemu za siri zishakua public, sasa kama umeshasex na boys 10/gals 10 bas ww una sehemu public sasa
 
Hivi ukiandika CHUPI kuna tatizo gani? Maanake naona wengi mnaandika pichu!
 
Chupi si siri tena kwani hata inachokihifadhi nacho kwa sasa hakina usiri wowote. Wakubwa kwa wadogo wanaonyeshana tu bila aibu sasa hiyo siri itoke wapi?!
 
Chupi za siku hizi unafunua matak**ndio unaikuta chup* mnata bikin** kuna kijikamba kinapita katikati ya pachupachu ila vzr
 
Pichu zimeitwa nguo za siri kwasababu zinaficha nyeti zetu. Nakumbuka kuna mchepuko wangu wa zamani sana alikuja ghetto na Pichu imetoboka. Kwanza nilijiuliza huyu zimo kichwani, Hajajua kama nitamgegeda leo au maisha magumu? Sijamwabia mwenyewe lakini alijishtukia kama nimeona pichu yake ina tobo.
 
Chupi si siri tena kwani hata inachokihifadhi nacho kwa sasa hakina usiri wowote. Wakubwa kwa wadogo wanaonyeshana tu bila aibu sasa hiyo siri itoke wapi?!
Lakini bado inaunyeti wake,ndo mana huwezi itaja mbele ya unaowaheshimu.
 
Huyo kweli alikuwa hajielewi,si bora asingevaa pichu.
 
labla sehemu uliokua unakaa wewe walikua wa siri ila ukiona mtu anafika sana nguo zake za ndani ujue kabisa ni mchafu upo hapo! alafu mwanaume havaagi pichu tengua kauli yako kijana


Hizi zinaitwaje.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…