Pick up lines weka wako lengo kila mtu atabasamu

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
6,736
Reaction score
10,669
wakuu
hakuna kitu kizuri kama tabasamu katika uso wa binadamu

uzi huu ktk coment weka line ambayo mtu akisoma atatabasamu
au aki pick up line akamtumia mtu lazima atabasamu

lugha yoyote

mfano

' hakuna kitu kingine cha gharama ninachokipata buree kama upendo wako, Nahisi umemwambia Mwenyezi mungu aniandike bill yangu?'

'Unakuwa mzuri mara dufu kila unapotabasamu ,last minute before i die or u die please smile huwezi juwa litani keep strong even nipo off breath'

"ur ffk@@n sx rider i have never meet urr taste drag me to next planet'

'50000 imethibitishwa umepokea kutoka NMB acc no ...." then unamtumia text you deserve it

' i love ur parents.. reason thy brings to me most gorgeous and intelligent girl


wakuu tushushe lines pick up lines send kwa unaetaka apate tabasamu
 
Shida zako sio zangu siwezi kukuzuga na kauli za waswahili ukweli naomba uujue
 
What makes you beautiful isn't the shape of your nose nor the point of your chin nor maybe your hairstyle.

But a joyful face is the beautiful face!
 
Sitaki kukudanganya sijui sili wala silali au nakuona kwenye kwenye glass.Sitaki kukudanganya .Bali kuna kaelfu 50 kwenye mfuko wa shati.Nachotaka ni kukupelekea amapiano baaasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…