Picture of the day

Picture of the day

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
<TABLE border=0 width="100%"><TBODY><TR><TD bgColor=#d7f2f2 vAlign=top align=left><TABLE border=0 cellSpacing=0 cellPadding=0 width="100%"><TBODY><TR><TD bgColor=#f4fdfd vAlign=top align=left>Picture of the Day</TD></TR></TBODY></TABLE></TD></TR><TR><TR><TD class=redFont vAlign=top align=middle></TD></TR><TR><TD vAlign=top align=middle>
05_10_ha7x9w.jpg
</TD></TR><TR><TD class=kaziBody vAlign=top align=middle>A BAJAJ rider puts his passenger’s life at risk by allowing him to hang on the door after loading a huge sack on a seat along Old Bagamoyo Road in Dar es Salaam


SOURCE: DAILY NEWS
</TD></TR></TBODY></TABLE>
 
hiyo caption haijakaa vizuri; nafikiri ingekuwa kwamba abiria ndio kajiweka mwenyewe kwenye hatari ya kupoteza maisha au kuumia kwa kukodi bajaj badala ya pick-up. Huyu abiria naye ni mwekezaji wa kigeni? Kwa wawekezaji ambao wanashindwa hata kukodi vyombo vya usafiri vya mizigo kutokana na mizigo yao uchumi wetu utapaa kweli?
 
Wachina karibuni kuwekeza tanzania ili tuinue uchumi wetu haijalishi mtakuja kuwa mama ntilie au wachoma mkaa tunawakaribisha sanaana sisi ndio wakarimu bwana dunia yote hakuna.by the way mfike hata vijijini huku hatujawaona
 
Huyu mchina bwana kashindwa kukodi pick up.
 
Hao ndio wawekezaji wanaotafutwa na mkulu.
 
Huyu mchina bwana kashindwa kukodi pick up.

Mkuu, kwani akiwa mchina lazima awe na uwezo wa kukodi p/up?
issue ni kwamba, kwa nini ukodi p/up wakati kuna bajaji?? watu wanatafuta pesa kwa shida jama!!!
 
huyo ni utingo wa kibajaji mweny mali ametangulia dukani, hongera dereva wa kibajaji kwa kuajili utingo TX wa KICHINA
 
bujibuji umenichekesha sana . Usalama wake hata haangalii
 
Back
Top Bottom