Zaidi ya kuwa mtoto wa Odinga X pm... Fidel alikuwa ni nani katika serikali ya Uhuru Kenyatta.. Naona mazishi yapo kitaifa hasa ukiangalia nyenzo za usafiri zilizotumika ni za serikali.... Na Odinga ni politician wa kawaida tu kwa sasa...
Mara nyingi nimekuwa mkosoaji Wa serikali ya Uhuru, lakin kwa jinsi nilivyoona serikali imetoa ndege za kesho kusafirisha mwili Wa Fidel na jinsi walivyompa ushirikiano mkubwa odinga muda juu Wa majonzi.
naomba nimpongeze Uhuru kenyata for the first time jaman.
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, kudos serikali ya kenyata .mmeonyesha ukakamavu Wa kisiasa.
African leaders do command royal following.Msishangae watu wakichinjana kugombea madaraka.kwani hadi wajukuu wanakuwa guarranteed the keys to the kingdom as confirmed to Ruto's great promise to Kenya statement.
sexologistAlipokuwa hai, Fidel alikuwa mtu wa vituko na alijulikana kwa ulevi mwingi. Kuna wakati alipatikana akiendesha gari yu mlevi na akalipa faini kimchezo. Lakini wajua sisi waafrika mtu akifa ni kumsifia bila mwisho. Hivi sasa Kenyatta ni kucheza siasa tu. Raila hata si mbunge, hata sio diwani. Wakati polisi wanakabiliana na Majangili wa Pokot na Turkana, hao huambiwa hakuna ndege. Lakini wakati fidel anakufa, ndege za kijeshi zatolewa, Ilhali Raila ana uwezo mkubwa wa kifedha kukodisha ndege zake mwenyewe. ni siasa tu mkuu. Hakuna lingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.