Mara nyingi nimekuwa mkosoaji Wa serikali ya Uhuru, lakin kwa jinsi nilivyoona serikali imetoa ndege za kesho kusafirisha mwili Wa Fidel na jinsi walivyompa ushirikiano mkubwa odinga muda juu Wa majonzi.
naomba nimpongeze Uhuru kenyata for the first time jaman.
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, kudos serikali ya kenyata .mmeonyesha ukakamavu Wa kisiasa.