Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hio jubilee house ni mzee hivyo? Haiya, sikuwa najuaMansion House on Elliot Street (later became Diamond Jubilee house) where Mansion House Pharmacy and Smith Mackenzie (the shipping agents) were located 1952 View attachment 848445
we were independent that building ikiundwaHii nchi ilishatengenezwa na wazungu toka enzi. Nyangau wakae kimya hamna walichoongeza
Hahahaaa! Licha ya kwamba nakubaliana na wewe, lakini nimecheka mbaya.Very Great images! Kumbe kuna siku Emillio Mwai Kibaki alikuwa anachangamka kiasi hicho??? Dah! More of these LightYagami.
I'd have blamed you but having read your post, it's evident that you've never been to Nairobi. So I'll give you a benefit of doubt. What our brother Light Yagami has presented is what I call pure history and I thank him for that.Wakenya sijui mlikosea wapi jamani... Wazungu waliwaachia kila kitu, waliwajengea kila kitu NBO
Leo Hii NBO ilitakiwa kua level moja kimaendeleo na Jo'burg kama tunavyojua Kenya walikua na settler system of colonial economy tofauti na sisi Tanzania
Though NBO imepiga hatua kidgo kutoka pale walipoachiwa na wakoloni wangepiga hatua kidogo basi NBO ingekua Jo'burg ya EA
Kubalini tu kuwa nb mlipachezea, palikuwa pazuri mnoI'd have blamed you but having read your post, it's evident that you've never been to Nairobi. So I'll give you a benefit of doubt. What our brother Light Yagami has presented is what I call pure history and I thank him for that.
Looking at the illustrations provided above in pictures, that's just but a shell of the current Nairobi. By that time, the whole of upper hill, wetlands and the surrounding suburbs where either bushes or probably coffee plantations. And this you've not included the expensive eastlands and three quarters of industrial area if not all. These are areas where wild animals used to roam freely.
A classic examples above, compare Mombasa road of then and now. How about the view of ngong hills from Nairobi?. It will force you to take the same picture atop a sky scraper as of now, use a drone etc.
Waweza kuwa wasema ukweli. Unajua uzuri wa kitu huwa unatofautiana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine. Na maoni hapa huwa inakubalika.Kubalini tu kuwa nb mlipachezea, palikuwa pazuri mno
Good history, very interesting,
What I can personally Analyse is that Nairobi was far better planned, clean and Organised that it is today, yaani mmeharibu mji, mmeufanya unanuka na kujaza mabati ya Kibera,
Kwa picha hizi ni ushahidi tosha kuwa Nairobi ilishajengwa na wazungu, hamna kitu mmeongezea..
Thanks for this and I'd request someone to do this for dar as well.
Sent using Jamii Forums mobile app