Pierre(Konki Liquid) apata mwaliko Ughaibuni

Pierre(Konki Liquid) apata mwaliko Ughaibuni

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
346
Reaction score
380
IMG_2639.JPG

Baada ya kushiriki kikamilifu katika kampeni ya Tokomeza Zero, Liquid amepata mwaliko mwingine Ughaibuni. Lengo la ziara yake pamoja na mambo mengine ni kuhamasisha Tanzania Diaspora kutoa misaada kwa shule za Kisarawe. Hii ni hatua nzuri sana na yenye tija kwa taifa.

Nelson,
SUA-Morogoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hapa kuna kitu sijaelewa.kwa nini anayehamasisha fanikiwa kuhamasisha elimu awe mwenye haiba ya kilevi? maana yake elimu yetu ina endana na Mhamasishaji
Kumbe siku hizi unatumia akaunti hii
 
Ndio ujiulize pia kwanini vilevi Ndio vinaongoza katika pato la taifa kwenye kodi

maana yake uchumi kwa kiasi kikubwa unawategemea walevi. siku watu wakiacha kulewa nchi itaingia kwenye mtikikisiko.wa kiuchumi
 
Ila hapa kuna kitu sijaelewa.kwa nini anayehamasisha fanikiwa kuhamasisha elimu awe mwenye haiba ya kilevi? maana yake elimu yetu ina endana na Mhamasishaji
Na wewe nenda kalewe halafu uwe maarufu tuone! Piere is entertainer ambaye hata nchi za wenzetu watu kama yeye wako.
 
Shilole si ni yule dada anayependaga kuongea kingereza kibaya kwa ujasiri mkubwa?Huyo angalau nimeona mantiki yake lakini siyo mlevi.
Ficha ujinga wako. Najua hutumii pombe ndiyo maana unafoka na mapovu yakikutoka. Nyie ndiyo wanafiki wakubwa mnajifanya mnapiga vita pombe huku ni wazinzi na mafisadi wa kutupwa. Bora huyo mnywaji kwanza anaingiza kodi kuliko nyie wezi mnaua maelfu ya maskini.
 
Self made star Pierre, Yuko juu , atabaki kuwa juu , it's okeey okeey
 
Bongo banah! Nilimsikia kitale wakati anafanya interview kwenye The Bartender Wasafi Tv alisema "Katika vitu ambavyo vimenishangaza eti yule Liquid nae anasairi nje kwenda kufanya show..! Jamani" Mwisho wa kunukuu
 
Baada ya kushiriki kikamilifu katika kampeni ya Tokomeza Zero, Liquid amepata mwaliko mwingine Ughaibuni. Lengo la ziara yake pamoja na mambo mengine ni kuhamasisha Tanzania Diaspora kutoa misaada kwa shule za Kisarawe. Hii ni hatua nzuri sana na yenye tija kwa taifa.

Nelson,
SUA-Morogoro

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shilole si ni yule dada anayependaga kuongea kingereza kibaya kwa ujasiri mkubwa?Huyo angalau nimeona mantiki yake lakini siyo mlevi.
Mbona huongei kwa Huyo mualikwa mwenye cheti feki na jina feki
 
Weka sosi ofu infomeshen yako.
Kumbe unaishi SUA Magadu kama kama mwanakijiji eeeh!

Back
Top Bottom