Pierre(Konki Liquid) apata mwaliko Ughaibuni

Pierre(Konki Liquid) apata mwaliko Ughaibuni

Bongo banah! Nilimsikia kitale wakati anafanya interview kwenye The Bartender Wasafi Tv alisema "Katika vitu ambavyo vimenishangaza eti yule Liquid nae anasairi nje kwenda kufanya show..! Jamani" Mwisho wa kunukuu
Kweli watu roho zinawauma. Piere atabaki kuwa juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shilole si ni yule dada anayependaga kuongea kingereza kibaya kwa ujasiri mkubwa?Huyo angalau nimeona mantiki yake lakini siyo mlevi.
Kwani anapokuwa kwenye shughuli kama hizo anakuwa amelewa?
 
Back
Top Bottom