much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Kweli watu roho zinawauma. Piere atabaki kuwa juuBongo banah! Nilimsikia kitale wakati anafanya interview kwenye The Bartender Wasafi Tv alisema "Katika vitu ambavyo vimenishangaza eti yule Liquid nae anasairi nje kwenda kufanya show..! Jamani" Mwisho wa kunukuu
Sent using Jamii Forums mobile app