Nelson Masaduki
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 346
- 380
Mbn Shilole alikwepo kwan nae ana elimuIla hapa kuna kitu sijaelewa.kwa nini anayehamasisha fanikiwa kuhamasisha elimu awe mwenye haiba ya kilevi? maana yake elimu yetu ina endana na Mhamasishaji
Ndio ujiulize pia kwanini vilevi Ndio vinaongoza katika pato la taifa kwenye kodiIla hapa kuna kitu sijaelewa.kwa nini anayehamasisha fanikiwa kuhamasisha elimu awe mwenye haiba ya kilevi? maana yake elimu yetu ina endana na Mhamasishaji
Shilole si ni yule dada anayependaga kuongea kingereza kibaya kwa ujasiri mkubwa?Huyo angalau nimeona mantiki yake lakini siyo mlevi.
Kumbe siku hizi unatumia akaunti hiiIla hapa kuna kitu sijaelewa.kwa nini anayehamasisha fanikiwa kuhamasisha elimu awe mwenye haiba ya kilevi? maana yake elimu yetu ina endana na Mhamasishaji
Ndio ujiulize pia kwanini vilevi Ndio vinaongoza katika pato la taifa kwenye kodi
Na wewe nenda kalewe halafu uwe maarufu tuone! Piere is entertainer ambaye hata nchi za wenzetu watu kama yeye wako.Ila hapa kuna kitu sijaelewa.kwa nini anayehamasisha fanikiwa kuhamasisha elimu awe mwenye haiba ya kilevi? maana yake elimu yetu ina endana na Mhamasishaji
Na wewe nenda kalewe halafu uwe maarufu tuone! Piere is entertainer ambaye hata nchi za wenzetu watu kama yeye wako.
Hahahahahahaahahaa nimecheka sanaNdio ujiulize pia kwanini vilevi Ndio vinaongoza katika pato la taifa kwenye kodi
Mbona Nyie mnatudharau sana sisi wanywaji& walevi....Ila hapa kuna kitu sijaelewa.kwa nini anayehamasisha fanikiwa kuhamasisha elimu awe mwenye haiba ya kilevi? maana yake elimu yetu ina endana na Mhamasishaji
Ficha ujinga wako. Najua hutumii pombe ndiyo maana unafoka na mapovu yakikutoka. Nyie ndiyo wanafiki wakubwa mnajifanya mnapiga vita pombe huku ni wazinzi na mafisadi wa kutupwa. Bora huyo mnywaji kwanza anaingiza kodi kuliko nyie wezi mnaua maelfu ya maskini.Shilole si ni yule dada anayependaga kuongea kingereza kibaya kwa ujasiri mkubwa?Huyo angalau nimeona mantiki yake lakini siyo mlevi.
Mbona huongei kwa Huyo mualikwa mwenye cheti feki na jina fekiShilole si ni yule dada anayependaga kuongea kingereza kibaya kwa ujasiri mkubwa?Huyo angalau nimeona mantiki yake lakini siyo mlevi.
Baada ya kushiriki kikamilifu katika kampeni ya Tokomeza Zero, Liquid amepata mwaliko mwingine Ughaibuni. Lengo la ziara yake pamoja na mambo mengine ni kuhamasisha Tanzania Diaspora kutoa misaada kwa shule za Kisarawe. Hii ni hatua nzuri sana na yenye tija kwa taifa.
Nelson,
SUA-Morogoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app