Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Ndani ya muda mchache huyu Pampula kapotezwa maboya watu wameshampotezea.Matukio ya kufuatana ya Msiba Wa Mengi , Mitusi ya Bashite msibani, Video feki ya Gwajima n.k.
Sidhani kama ile ahadi ya Majaliwa ya kumpa tiketi ya kwenda Misri kama itatekelezwa tena.
Kwa uzoefu wangu muda si mrefu utasikia tumchangie aende India mguu umeleta shida tena!!
Video ya gwajima Ni fake?

Upo wewe mwehu?
Video ya gwajima Ni fake?
Ile clip ya Gwajima siyo feki. Ile ni halisi na Gwajima mwenyewe! Hivi nyie mnamwona Gwajima ni mtu wa maana sana? Hakuna mpenda ngono kama Gwajima.Ndani ya muda mchache huyu Pampula kapotezwa maboya watu wameshampotezea.Matukio ya kufuatana ya Msiba Wa Mengi , Mitusi ya Bashite msibani, Video feki ya Gwajima n.k.
Sidhani kama ile ahadi ya Majaliwa ya kumpa tiketi ya kwenda Misri kama itatekelezwa tena.
Kwa uzoefu wangu muda si mrefu utasikia tumchangie aende India mguu umeleta shida tena!!
#Iam_standing_with_Liquid_Pierre_Konki