Pierre kupotezwa ghafla

Pierre kupotezwa ghafla

Ndani ya muda mchache huyu Pampula kapotezwa maboya watu wameshampotezea.Matukio ya kufuatana ya Msiba Wa Mengi , Mitusi ya Bashite msibani, Video feki ya Gwajima n.k.
Sidhani kama ile ahadi ya Majaliwa ya kumpa tiketi ya kwenda Misri kama itatekelezwa tena.
Kwa uzoefu wangu muda si mrefu utasikia tumchangie aende India mguu umeleta shida tena!!

Yaani mtu unagombana na kumuonea wivu poor man Pierre?

Aisee tafuta mtu size yako!

Acha us3nge!
 
Ndani ya muda mchache huyu Pampula kapotezwa maboya watu wameshampotezea.Matukio ya kufuatana ya Msiba Wa Mengi , Mitusi ya Bashite msibani, Video feki ya Gwajima n.k.
Sidhani kama ile ahadi ya Majaliwa ya kumpa tiketi ya kwenda Misri kama itatekelezwa tena.
Kwa uzoefu wangu muda si mrefu utasikia tumchangie aende India mguu umeleta shida tena!!

Mleta mada kama ningekuwa na uwezo ningekubadilisha jinsia, binadamu gani zwazwa kiasi hiki
 
Everybody say Yeeeeeh...
Ndani ya muda mchache huyu Pampula kapotezwa maboya watu wameshampotezea.Matukio ya kufuatana ya Msiba Wa Mengi , Mitusi ya Bashite msibani, Video feki ya Gwajima n.k.
Sidhani kama ile ahadi ya Majaliwa ya kumpa tiketi ya kwenda Misri kama itatekelezwa tena.
Kwa uzoefu wangu muda si mrefu utasikia tumchangie aende India mguu umeleta shida tena!!
 
Ndani ya muda mchache huyu Pampula kapotezwa maboya watu wameshampotezea.Matukio ya kufuatana ya Msiba Wa Mengi , Mitusi ya Bashite msibani, Video feki ya Gwajima n.k.
Sidhani kama ile ahadi ya Majaliwa ya kumpa tiketi ya kwenda Misri kama itatekelezwa tena.
Kwa uzoefu wangu muda si mrefu utasikia tumchangie aende India mguu umeleta shida tena!!
Ile clip ya Gwajima siyo feki. Ile ni halisi na Gwajima mwenyewe! Hivi nyie mnamwona Gwajima ni mtu wa maana sana? Hakuna mpenda ngono kama Gwajima.
 
Back
Top Bottom