Pierre Liquid "amfunika" Bashite kwa umaarufu,Tanzania nzima yamlinda dhidi ya mashambulizi,baadhi wadhani ni mtu mkubwa serikalini!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ni wazi sasa DSM ni kama imepata Mkuu wa Mkoa mpya katika sekta ya burudani,si mwingine bali ni Pierre Liquid,mziki wake ni mzito wa takribani wats laki nane, anatikisa kila kona

Watu wazima sana wasiofatilia mambo ya mitandaoni walidhani eti ni mkuu mpya wa mkoa wa DSM,na wengine wakasema eti mh JPM kamdondoshea uteuzi,kumbe laaa!

Nyota imewaka,iko juu kileleni imeshikwa na malaika Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…