chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ni wazi sasa DSM ni kama imepata Mkuu wa Mkoa mpya katika sekta ya burudani,si mwingine bali ni Pierre Liquid,mziki wake ni mzito wa takribani wats laki nane, anatikisa kila kona
Watu wazima sana wasiofatilia mambo ya mitandaoni walidhani eti ni mkuu mpya wa mkoa wa DSM,na wengine wakasema eti mh JPM kamdondoshea uteuzi,kumbe laaa!
Nyota imewaka,iko juu kileleni imeshikwa na malaika Mkuu