milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,166
Naona unamuandama PierreMchekeshaji angepelekwa Joti, Masanja na Mpoki ingeeleweka, ila Pierre ka Big G tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unamuandama PierreMchekeshaji angepelekwa Joti, Masanja na Mpoki ingeeleweka, ila Pierre ka Big G tu!
Mkuu nimecheka sana aisee!Wasimsahau pia Nabii Tito
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nimecheka sana aisee!
[emoji23][emoji28]
Ni member humu JF amekuwa maarufu baada ya kuwata.. members humu.Hii nyete ni nini naona kakazana tu
Kuna wabunge wa vyama vyote kwenye uwo msafara au ni wa kijani tu?Ata mie kaka daaah imebidi nighairi
Kwenye Uzi upi mkuuNi member humu JF amekuwa maarufu baada ya kuwata.. members humu.
Acha wivu uliopitiliza kwani wapi wamesema wachekeshaji wanatakiwa?Mchekeshaji angepelekwa Joti, Masanja na Mpoki ingeeleweka, ila Pierre ka Big G tu!