Second Lieutenant
Senior Member
- Jan 13, 2014
- 143
- 25
Habari za leo ndugu zangu,
Poleni kwa Majukumu na kazi nzima ya kujenga taifa.Ombi langu kwenu ni Mawasiliano ya Institutions za kilimo ambazo zinahusika na research pamoja na breed crossing.Mimi natafuta F1 ya Crossing ya Large White+Landrace+Duroc.
Wadau naomba yeyote ambaye anaweza nipa contacts za Mpwapwa institution,Tengeru or Sua University nijaribu kuulizia kama naweza pata those breed coz wana idara zinazohusika na breeding.
Nawasilisha.