Piga Chini, Weka Mwingine!

Piga Chini, Weka Mwingine!

Kwa wabunge mnawaonea tu kazi ya mbunge sio kujenga barabara Wala kuleta maji hiyo ni ya serikali tatizo Kuna shida kubwa ya uelewa na ufahamu wa kazi za kibunge
Piga chini tuu, mbona wanahidi nitajenga barabara,piga chini Kwa kuwa wamedanganya!
 
Piga chini tuu, mbona wanahidi nitajenga barabara,piga chini Kwa kuwa wamedanganya!
Hata wao wanazingua kuahidi ahadi ya kujenga miundombinu na kuleta maendeleo wakati wanajua wazi hiyo si kazi yao na uwezo huo hawana.

Ndo maana huwa wanakimbia kuishi majimboni kwasababu kila siku wanaletewa shida binafsi na wananchi na uwezo wa kuzitatua hawana wanashindwa kuwambia ukweli wananchi kuwa Hilo SI jukumu lao kwasababu waliwahadaa wananchi kipindi Cha kampeni
 
Mfumo ndio tatizo sio muda wa mbunge au diwani.

Huwasikii na wao wana mshukuru Samia au unadhani wanaigiza?
 
Hata wao wanazingua kuahidi ahadi ya kujenga miundombinu na kuleta maendeleo wakati wanajua wazi hiyo si kazi yao na uwezo huo hawana.

Ndo maana huwa wanakimbia kuishi majimboni kwasababu kila siku wanaletewa shida binafsi na wananchi na uwezo wa kuzitatua hawana wanashindwa kuwambia ukweli wananchi kuwa Hilo SI jukumu lao kwasababu waliwahadaa wananchi

Mfumo ndio tatizo sio muda wa mbunge au diwani.

Huwasikii na wao wana mshukuru Samia au unadhani wanaigiza?
Wanaigiza Ndio!
 
Back
Top Bottom