Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,404
Kabla huu mwaka haujaisha lazima tumpate mwanachama bora wa mwaka 2017...Kwasasa hapa JF wajumbe maarufu ni hawa wanne...hivyo tupige kura kumpata Member of the Year!
> The bold
> mshana jr
> Joseverest
> ONTARIO
NB:Zoezi la kupiga kura litafungwa baada ya siku tatu kuanzia leo!
> The bold
> mshana jr
> Joseverest
> ONTARIO
NB:Zoezi la kupiga kura litafungwa baada ya siku tatu kuanzia leo!