Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,unataka na wewe uwepo?
Kwahiyo wanaJF wote wapigiwe kura?
Aaah hii demokrasia ya uwakilishi!
Jukwa la wakubwa Kura iende kwa @Jestikilla kwa kutuwekea tupicha tutamuu..
Mi nakupigia kura wewe swahiba wangu... liwalo na liwe
Mbona wote wanaume tu kwani Jamiiforums wamejaa vidume pekeee???
NA UMETUMIA VIGEZO GANI KUWACHAGUA HAO ULIOWATAJA?
Maarufu wapo wengi humu sidhan kama watu watatu pekee ndo maarufu JF nzima
KWENDRAAAAAAAAA!!!!
Mbona Beef Lasgna hayupo katika kinyang'anyiro?Wanataarifa wenyewe Kama kuna zoezi la kuwapigia kura au Ndio kiki kupitia Majina ya watu
Nipigie hata mimi tu!Sana tu...
Maana kwa mimi nashindwa nimpigie nani hapo maana hujaweka vigezo
Kwenye uchawi Mshanar jr. hana mpinzani
Kwenye hadithi The bold hana mpinzani
Kwenye first to reply Joseverest hana mpinzani
Sasa hebu nambie hapo si bora nimchague Sky Eclat wangu tu?
Unamuogopa mchawi eh?mimi kwangu wana jf wote ni bora, lakini bora zaidi kwangu ni eiyer. kuna vitu vingi ameshirikisha hapa jamii forum ambavyo vimenifunza mengi na anapo uzima kuna mengi ya kujifunza kwake. hao mliowataja ni bora lakini kama ni nondo nkwangu ni eiyer ingawa wapo wengi wa namna hio lakini huyu ni bora kwangu. mshana yupo bara lakini yakwake nashindwa kuyaishi.
Tehteh...hiyo Id yako hatari sana mkuuThe bold mzee wa kufukunyua mambo,namba mbili kaka mkubwa mshana jr,nafasi ya tatu inakwenda kwa joseverest mzee wa first reply