Nadhani ingependeza kama kungekua na category maana kuna sehemu baadhi ya hao uliowataja wanapwaya mf kwenye uchawi/uganga wangepambanishwa boss Mshanajr na MziziMkavu...kwenye uchumi mkuu ONTARIO, @chachapoultryfarm na daviondelmontejr...first to reply Joseverest awe peke yake maana hana mpinzani tehe....chit chat akina MBITIYAZA , @missnatafuta etc...ikiwezekana hata wenye hekima na majibu ya staha kama emmyta , @heavensent ,Mshanajr ....ktk jamii intelligence kuna akina boss Rakims , @pascalmayalla ,nk