gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
HahahahaPiga kura bana mdogo wangu. Mpigie hata yule ticha wa juzi pale ubaoni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi ninawapigia from the buttom of my heartKwa hiyo umeamka kuharibu kura sio
Unataka kuleta WW3Hahahaha. Ngoja nisitoke nje ya mada. Maana nikimtaja hapa..
Kura gani hizo za undugu bhanaaMi ninawapigia from the buttom of my heart
Nini tena kaka ake? [emoji2] [emoji2]Hahahaha
Hata katika hao lazima yuko the best zaidi ya wengine, hivyo kura yako muhimu......pia nakusalimia dadake emmytaWacha uchokozi swahiba. Naanzaje Mtanga miee. Mana wanafika 50 ninaowaona michango yao iko vizuri na ina ubora wa hali ya juu hivyo hata kuvote kwa mmoja siwezi. Wacha kura yangu iharibike tu kwa leo.
Mi mzima kabisa.
Nimefurahi tu dadake si wajua tena na leo sikukuu yetu watu wa maporiniNini tena kaka ake? [emoji2] [emoji2]
Hahaaa. Hakuna bana kaka ake mmoja kama mmoja hata sina mwishowe nitakuwa kama Maserati bure mana nikianza kuwahorodhesha hata hapatatosha.Hata katika hao lazima yuko the best zaidi ya wengine, hivyo kura yako muhimu......pia nakusalimia dadake emmyta
Weuweeee haimaanishi sio vichwaKura gani hizo za undugu bhanaa
Hahaa. Haya bana kaka ake ila kufurahi muhimu bana. [emoji23]Nimefurahi tu dadake si wajua tena na leo sikukuu yetu watu wa maporini
Hahaha hutaki lawama naona kutoka kwa hao watu....... Me niko oky kabisa dadake, now najiandaa kwenda 8/8Hahaaa. Hakuna bana kaka ake mmoja kama mmoja hata sina mwishowe nitakuwa kama Maserati bure mana nikianza kuwahorodhesha hata hapatatosha.
Nakusalimia pia kaka ake. Mi sijambo sijui wewe?
Safi Mamie , za wewedark angel mambo shoga angu??
Kwa mbali. Ila sijui nimtaje tuu maana hajatajwa kabisaUnataka kuleta WW3
Ukimtaja unishtue shostitoKwa mbali. Ila sijui nimtaje tuu maana hajatajwa kabisa
Kabisa kaka ake mana walio wengi ni watu wa karibu mwishowe nitapunguza marafiki bure pia usisahau na wewe pia ni mmoja wapo ujue kaka. [emoji2]Hahaha hutaki lawama naona kutoka kwa hao watu....... Me niko oky kabisa dadake, now najiandaa kwenda 8/8
HahahaWeuweeee haimaanishi sio vichwa