Piga kura kwa member wa KIUME anayekuvutia kwa michango yake humu Jf, kuhesabu kura ni tarehe 10 saa 6 usiku.

Wacha uchokozi swahiba. Naanzaje Mtanga miee. Mana wanafika 50 ninaowaona michango yao iko vizuri na ina ubora wa hali ya juu hivyo hata kuvote kwa mmoja siwezi. Wacha kura yangu iharibike tu kwa leo.

Mi mzima kabisa.
Hata katika hao lazima yuko the best zaidi ya wengine, hivyo kura yako muhimu......pia nakusalimia dadake emmyta
 
41d51bd0121cfcd26c8123c20992ff47.jpg
 
Hata katika hao lazima yuko the best zaidi ya wengine, hivyo kura yako muhimu......pia nakusalimia dadake emmyta
Hahaaa. Hakuna bana kaka ake mmoja kama mmoja hata sina mwishowe nitakuwa kama Maserati bure mana nikianza kuwahorodhesha hata hapatatosha.

Nakusalimia pia kaka ake. Mi sijambo sijui wewe?
 
Hahaha hutaki lawama naona kutoka kwa hao watu....... Me niko oky kabisa dadake, now najiandaa kwenda 8/8
 
Back
Top Bottom