SafiiiiSafi Mamie , za wewe
Kilichonifanya niwapende kama kaka zangu ni uwezo wao mkubwa wa kufikiri that's why nimewatajaHahaha
Hilo Umesema wewe shougaa
Sawa shoo..Ukimtaja unishtue shostito
Kuna mjing@ analeta upuuz! Somewhere ngoja nikutagSawa shoo..
Mtoto mzuri mwenzangu umeharibu kura ujue. [emoji2] [emoji2]Ha ha ha ha haaa
Uwiiiii tag me nimemiss sanaKuna mjing@ analeta upuuz! Somewhere ngoja nikutag
Pleaseeeee jamaniiiiHahaaaa. Muda wa kuhesabu itabidi tukufikirie aisee.
Hahaha me na wewe tena dadake ni kama maji na samaki.......na kwako pia dadake nakutakia siku njemaKabisa kaka ake mana walio wengi ni watu wa karibu mwishowe nitapunguza marafiki bure pia usisahau na wewe pia ni mmoja wapo ujue kaka. [emoji2]
Sawa kaka maandalizi mema.
Umeonaee. Sawa kaka ake uwe na sikukuu njema.Hahaha me na wewe tena dadake ni kama maji na samaki