Piga kura kwa member wa KIUME anayekuvutia kwa michango yake humu Jf, kuhesabu kura ni tarehe 10 saa 6 usiku.

Piga kura kwa member wa KIUME anayekuvutia kwa michango yake humu Jf, kuhesabu kura ni tarehe 10 saa 6 usiku.

0fgjhs5v7lkcmk7fg.e70305f7.jpg
 
Kabisa kaka ake mana walio wengi ni watu wa karibu mwishowe nitapunguza marafiki bure pia usisahau na wewe pia ni mmoja wapo ujue kaka. [emoji2]

Sawa kaka maandalizi mema.
Hahaha me na wewe tena dadake ni kama maji na samaki.......na kwako pia dadake nakutakia siku njema
 
Back
Top Bottom