MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
yani unataka kusema mimi nimefake jinsia? haya bwana
soma fresh mkuu member' wa kiume' duh ngj nudelete coments yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani unataka kusema mimi nimefake jinsia? haya bwana
Unataka kuleta WW3
Hivi mbona hizi threads za mpambano zimezidi yaani ni kama hamna aina nyingine ama ubunifu zero...
Daahhh hadi mwenye pesa Jf anatafutwa.kweli kila nabii na zama yake
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Na wewe unataka ubaki salama. Basi sawa swahiba.Mimi sipigi aisee wacha iharibike Kura haiwezi kumwacha mtu salama atiii[emoji23] [emoji23]
Yani nataka nibaki na amani swahiba[emoji40][emoji2] [emoji2] [emoji2] Na wewe unataka ubaki salama. Basi sawa swahiba.
Ha haaaaa go girl[emoji135]Haitatokea kuna askar shupavu humu wakiona dalili tu kauzi kanafutwa kote
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani nataka nibaki na amani swahiba[emoji40]
Huu nao utakuwa ni ushujaa wa kiwango cha standard gauge[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila swahiba unaweza pia ukarusha bomu alafu ukasepa ikabakia kazi ya kuchungulia nani litamlipukia.
Aisee. Sio kwa kunichekesha huko swahiba. [emoji2] [emoji2]Huu nao utakuwa ni ushujaa wa kiwango cha standard gauge[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee. Sio kwa kunichekesha huko swahiba. [emoji2] [emoji2]
Mpka dakika hii nawait unitaje alfu na ww umejikaushaHata member wa kiume wambea tunaruhusiwa kuwataja?
Kuna mtu anatakiwa ajichukulie ushindi.
Umeharibu kuraSaint Ivuga le shemela
shemela nimefurahi, but you know me how I love you. usiharibu kura yako though kunipigia bora ungempa huyu mtu mtata Aleppo mzee wa madongoSaint Ivuga le shemela