Mosi,huo ni mtazamo wangu na si wako. Nawe unaweza kuwa na wako.Sio lazima mchezaji bora atoke kwenye timu iliyotwaa ubingwa..mwaka Jana Tsabalala na England Mo Salah Liverpool
Discipline itamuangusha. Nakubaliana na wewe Kelvin had outstanding performance kwenye pitch. 2006 Zidane alistahili kuwa mchezaji bora ila ule utovu wa nidhamu ulioufanya kwa Materrazzi ukamtoa kwenye kinyang’anyiro.Mimi ni simba ila Yondani anafaa sana kuwa mchezaji bora
Hahahaaaaaa nyinyi si ndio mlikuwa mnasema ni magarasa hayo,mkidhihaki usajili wa bil1....mkisifia azam kuwa wameiingiza cha kike simba kwa wachezaji wenye majeruhi yaliyoshindikana.....pambav MSİJİSAHAULİSHEMpango mkakati hao ni mamluki ili Simba iwe bingwa..na usijifanye hujui..wapi Duniani umeona unawauzia wapinzani wako key players wanne kama sio upuuzi wa wanna be Arabs
Umewahi kupata majibu kwa nini Azam iliwaacha Bocco,Nyoni,Manula,Kapombe. Huwa naona ni ujuha
YONDANI Ana mimba changa.. hv bado anatema mate hovyo?Mimi ni simba ila Yondani anafaa sana kuwa mchezaji bora