Piga Kura: Mchezaji Bora wa JF kwa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL)

Piga Kura: Mchezaji Bora wa JF kwa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL)

Sio lazima mchezaji bora atoke kwenye timu iliyotwaa ubingwa..mwaka Jana Tsabalala na England Mo Salah Liverpool
Mosi,huo ni mtazamo wangu na si wako. Nawe unaweza kuwa na wako.
Pili, sina huo mtazamo wako wa kusema eti kwa vile Simba ni Bingwa basi lazima itoe mchezaji bora. Nimeangalia mchango wao kwenye timu. Hata kama Simba isingetwaa ubingwa na hao wachezaji wangecheza hivyo kwangu ilikuwa rahisi kuwapa nafasi ya kuwa wachezaji bora.
 
Mimi ni simba ila Yondani anafaa sana kuwa mchezaji bora
Discipline itamuangusha. Nakubaliana na wewe Kelvin had outstanding performance kwenye pitch. 2006 Zidane alistahili kuwa mchezaji bora ila ule utovu wa nidhamu ulioufanya kwa Materrazzi ukamtoa kwenye kinyang’anyiro.
 
Mpango mkakati hao ni mamluki ili Simba iwe bingwa..na usijifanye hujui..wapi Duniani umeona unawauzia wapinzani wako key players wanne kama sio upuuzi wa wanna be Arabs
Hahahaaaaaa nyinyi si ndio mlikuwa mnasema ni magarasa hayo,mkidhihaki usajili wa bil1....mkisifia azam kuwa wameiingiza cha kike simba kwa wachezaji wenye majeruhi yaliyoshindikana.....pambav MSİJİSAHAULİSHE
 
unaweza ukashangaa leo jiwe ndio akamchagua mchazaji bora tena bech warmer sasa na hakuna atakaepinga.
 
Back
Top Bottom