Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
duu!!!! Uko hadi huku?Tigo sucks. Hasa tigo pesa yao. Toka juz najarbu kutoa hela bt inakataa. Customer care ni mbovu sana
Ndiyo! Unashangaa huelewi nini sasa hapo?
2mia MPESA hadi wa elfu 3 unanunua tigo wezi sanaduu!!!! Uko hadi huku?
Yani hapo kwa tigo umenena, me nilinunua umeme wa elfu 5, cjapata mpaka kesho
Voda ni namba 1 kwa wizi. Tigo wana matatizo ya ufundi