Piga Kura: Mtandao Gani Wa Simu Inaongoza Kwa Wizi

Piga Kura: Mtandao Gani Wa Simu Inaongoza Kwa Wizi

Tigo sucks. Hasa tigo pesa yao. Toka juz najarbu kutoa hela bt inakataa. Customer care ni mbovu sana
 
Kwa mtandao wa internet airtel wanaongoza sijui mitandao mingine sababu sijawahi kutumia jana nimeweka kifurushi cha siku pesa ikakatwa baadae ikaje sms hawawezi kunipa huduma sababu mimi sio pre-paid customer hii line nimetumia zaidi ya mwaka kupiga customer care ilinichukua nusu saa nzima kuwapata wakanieleza hii huduma haihusiani na internet wataripoti tatizo nitapewa majibu mpaka sasa sijapewa na kuna kipindi nilikuwa naweka pesa kwenye internet huduma sipati hadi usiku hii mitandao inaboa bora ziingie kampuni nyingine ambazo hazitahusiana na wanasiasa
 
Khola, acha kuangaliamitandao ya ngono, hii ndiyo inayokata internet kwa haraka kwani imelaaniwa na Mungu.
 
Airtel gharama zao za kupiga simu ziko juu sana,pia hiyo promosheni yao ya sms ndio wizi mtupu.Mtu unatuma sms moja na huna mpango wa kuendelea kutuma sms nyingine lakini unakatwa shs.125,kama sio wizi ni nini.Yaani unalazimishwa kuingia kwenye hiyo promsheni.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Tigo kiboko yaan jaribu kufanya jaribio moja Angalia salio then piga simu ukimaliza Kupiga angalia salio tena na sekunde ukizotumia then utaona ujambazi wa Hawa jamaa. Wanatudanganya sh. Moja kwa sekunde wakati inafika hadi sh. 4 kwa sekunde hata km kuna VAT isingezidi sh. 1.2 per second tigo kwenda tigo.
 
Voda ni namba 1 kwa wizi. Tigo wana matatizo ya ufundi
 
Tigo sucks. Hasa tigo pesa yao. Toka juz najarbu kutoa hela bt inakataa. Customer care ni mbovu sana
duu!!!! Uko hadi huku?
Yani hapo kwa tigo umenena, me nilinunua umeme wa elfu 5, cjapata mpaka kesho
 
vingezo na masharti ndio wezi wenyewe!
 
Tingo wezi.laini yao nilivunja baada ya kuomba nipige tafu ya 500 alafu wakanilazimisha nipige tIGO-tIGO.Wanaudhi endapo kuna mtu unamtafuta alafu kumbe hayupo hewani mda mrefu, hawakwambii kuwa hapatikani bali kuna sauti ya kidume huku ikila salio lako.Tigo kwenu dar mlozizoea c huku Kagera hatuitaji kuzisikia.
 
Back
Top Bottom