Piga kura tumalize utata, Chama na Pacome yupi bora zaidi

CHAMA vs PACOME nani zaidi?

  • Total voters
    85
  • Poll closed .
Endeleeni kupiga kura
 
Mada iishie hapa

Hawa mazuzu ndio wanafananisha cr7 na halaand
 
Wakati hiyo Pa Komwe analima viazi huko kijijini kwao tayari Chama alishatengeneza jina Afrika na dunia nzima.

Africa ya wapi hiyo wakati Chama ni jogoo wa shamba asiyewika mjini. Hakuna hata klabu kubwa yoyote iliyowahi hata kuhusishwa na kumuhitaji Chama. Kaenda Berkane kachemka karudi hapa hapa bongo.
 
Africa ya wapi hiyo wakati Chama ni jogoo wa shamba asiyewika mjini. Hakuna hata klabu kubwa yoyote iliyowahi hata kuhusishwa na kumuhitaji Chama. Kaenda Berkane kachemka karudi hapa hapa bongo.
😀😀😀😀
Pacome anahitajika na timu ipi kubwa?au Yanga ni kubwa sio?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pacome anahitajika na timu ipi kubwa?au Yanga ni kubwa sio?
Subiri michuano ya klabu bingwa iishe halafu tutakuwa mashuhuda kama atacheza Yanga hadi uzeeni mwake.
 
Yaani nitakuwa chizi kupiga kura hapa
Yaani ni sawa na Messi kumlinganisha na Mbape ni utoto uliotukuka.

CHAMA Kathibitisha ubora hadi CAF wanamtambua kama among top scorers of all time.Anayinganishwa sharti athibitishe ubora zaidi ya hapo au kufikia hapo
 
Kutokana na ubishi mwingi kuhusu hawa viungo tupige kura kati Chama na Pacome nani bora zaidi.

Mwenye kura nyingi ndo chaguo la wengi tumalize ubishi humu JF
Chama kawa na muendelezo mzuri kwa Zaid ya misimu mitatu mfululizo, Pacome ndo kwanza msimu wake wa kwanza hapa bongo halafu unamringanisha na Chama
 
Kweli kabisa
 
Kucheza sehemu ni maamuzi ya mtu
Rejea Messi
Messi alikuwa kwenye timu kubwa, Barcelona walukuwa wa moto sana na alikuwa analipwa mshahara mkubwa. Sasa ulitegemea Messi ahame Barcelona kwenda timu ndogo? Messi vilabu vingi vilimuhitaji ila alikataa. Sasa niambie tokea Chama aje Simba kuna vilabu vipi vilivyomuhitaji? Toka aje bongo katoka kaenda Berkane kukamshinda akarudi bongo.
Mwanamke kama nje hakuna hata mwanaume anayeshoboka nae kumuhitaji ujue hashawishi. Ukisikia tetesi za Chama basi atahusishwa na Yanga pekee. Sio Mamelod, Al Ahly, Wydad, n.k.
 
Katika hizo timu ulizotaja nambie timu gani inayomuhitaji pacome
 
Katika hizo timu ulizotaja nambie timu gani inayomuhitaji pacome
Pacome ndio msimu wake wa kwanza kucheza klabu bingwa hatua ya makundi hivyo tuupe muda uwe hakimu, wakati mmoja anatamatisha safari yake mwingine ndio anaanzisha safari yake.
 
Pacome ndio msimu wake wa kwanza kucheza klabu bingwa hatua ya makundi hivyo tuupe muda uwe hakimu, wakati mmoja anatamatisha safari yake mwingine ndio anaanzisha safari yake.
Hapo umemaliza kuwa hao watu hawapaswi kulinganishwa

Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…