Piga Kura: Tunaotaka Katiba Mpya na Wanaopenda Hii Iendelee!

Piga Kura: Tunaotaka Katiba Mpya na Wanaopenda Hii Iendelee!

Je unataka Katiba Mpya?


  • Total voters
    48
  • Poll closed .
mimi nataka chakula,
nina njaa,katiba hailiwi.
wanasiasa wananjaa ya katiba
wanataka kula vyeo/madarak.
Pole! Kama kule SA watu wamepata nafasi ya kupata mlo kwa kusingizia wanamtaka Zuma awe huru
 
Akiona mzee wa msoga, mzee wa fitna, mzee wa kila aina ya siasa atasema hao ni vijana wa mtandaoni tu ndiyo wamechezacheza na tehama wakaja na hayo matokeo
Mzee wa Msoga atafurahi tu manake ngoma si yake hii!
 
Back
Top Bottom