L Lyambalyetu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2021 Posts 278 Reaction score 255 Jul 14, 2021 #41 Vessel said: Wasiibe kama ule was siri kali za mtaani na ule wa sili kali kuu wa kuu 2019 na 2020. Tuu. Click to expand... Manake ni wezi sana!
Vessel said: Wasiibe kama ule was siri kali za mtaani na ule wa sili kali kuu wa kuu 2019 na 2020. Tuu. Click to expand... Manake ni wezi sana!
N NewPage JF-Expert Member Joined Mar 22, 2021 Posts 1,321 Reaction score 2,106 Jul 16, 2021 Thread starter #42 Kabugula said: Tukipiga zitaibiwa Click to expand... Zimshaanza kuibiwa!
wazanaki JF-Expert Member Joined Mar 20, 2020 Posts 1,092 Reaction score 808 Jul 16, 2021 #43 Lyambalyetu said: Kwani ya sasa ina mapungufu gani? Yaani watu wengine bhana. Mnaanzisha kura zisizo na maana kabisa yaani! Pyuuuu! Click to expand... Kutomwajibisha kiongozi mkuu wa serikali.
Lyambalyetu said: Kwani ya sasa ina mapungufu gani? Yaani watu wengine bhana. Mnaanzisha kura zisizo na maana kabisa yaani! Pyuuuu! Click to expand... Kutomwajibisha kiongozi mkuu wa serikali.