Haaah aaaah aaaah mkuu nmekusoma sana,,inaonyesha ni vipi tulianza kupenda timu badala ya mpira,,,.Mi Simba nawapendeeni hapo tu...DEMOKRASIA. Yaani hadi kocha anapatikana kwa kura za mashabiki...tehe tehe tehe!
Sisi next week tutakuwa pia na kura ya maoni Jangwani,...Je ubingwa wa 28 tuchukue msimu huu au tupumzishe kwapa za kapteni?
Awe msemaji wa Tindo Fc ya Tabora.Mimi kura yangu ni Haji Manara OUT.
Pumba anazoongea hazifanani na hadhi ya klabu yetu, pengine alistahili awe msemaji wa Abajalo Fc ya Sinza