Piga kura yako kupendekeza kocha msaidizi simba, iwapo Masud Djuma anakuwa kocha mkuu.

Piga kura yako kupendekeza kocha msaidizi simba, iwapo Masud Djuma anakuwa kocha mkuu.

Mimi kura yangu ni Haji Manara OUT.

Pumba anazoongea hazifanani na hadhi ya klabu yetu, pengine alistahili awe msemaji wa Abajalo Fc ya Sinza
 
Sidhani Kama Julio anaweza Iacha Dodoma FC kwa Hivi sasa ila hata Kama ana mpango huo namshauri asijaribu kwenda simba hawana shukrani wale. Mda si mrefu atatimuliwa.

Kocha msaidizi nampendekeza Mgosi
 
Hiyo Nafasi inamfaa sana HAIJI KUNG'ARA. Manake huyo jamaa kwa taarabu zake ataifikisha mbali hiyo bendi Ya Mikia mbali. Nadhan fifa mtafika kirahisi sana
 
Mi Simba nawapendeeni hapo tu...DEMOKRASIA. Yaani hadi kocha anapatikana kwa kura za mashabiki...tehe tehe tehe!

Sisi next week tutakuwa pia na kura ya maoni Jangwani,...Je ubingwa wa 28 tuchukue msimu huu au tupumzishe kwapa za kapteni?
Haaah aaaah aaaah mkuu nmekusoma sana,,inaonyesha ni vipi tulianza kupenda timu badala ya mpira,,,.
 
Mimi kura yangu ni Haji Manara OUT.

Pumba anazoongea hazifanani na hadhi ya klabu yetu, pengine alistahili awe msemaji wa Abajalo Fc ya Sinza
Awe msemaji wa Tindo Fc ya Tabora.
 
Simba wachezaji hawana quality...mtafukuza kila kocha ila tatizo ni usajili
 
Back
Top Bottom