Piga cm inch yeyote ile
Piga cm kwa mtu yeyote yule piga cm hata kama ni kwa rais au hata kama ni kwa dk shika
Piga kwa taas yeyote ile
Mpigie cm member yeyote
Hata kama ni mimi nipigie lakin usinibipu mkuu maana ukinibipu mimi nitakupigia
Haloo haloo wakuu nimewapigia nataka kuwauliza swali moja iv et ni kosa kwa msukuma dk shika kununua nyumba ya msukuma lugumi kwenye nchi ya msukuma magufur ndan ya mkoa wa msukuma makonda afu askofu mkuu akiwa ni msukuma gwajima