[emoji23] havipo cku hz mkuuUmekunywa viroba
naongezea 50700 haitazuru
Ogenza sio kutafutanaHalooo!habari hapo studio naitwa Aganza Dominick nikiwa kolomije salam zangu za kwanza zimuendee tedy akiwa kigoma za pili zi mwendee hamisi akiwa mwanza na za tatu ziende kwa kidawa akiwa kasulu ujumbe maisha ni kutafuta
Hahaha sipo nchi ya watu wasiofahamika mkuu.Haya mkuu siku nyingi nilikuwaa sikuon nilijua wajeda wamekutupa mton maana ulikuwa unatukana siku zile walipokufaga kule kongo
nakubali mkuuHiyo haitapendeza mkuu labda tuairishe mnada mkuu unajua hiz nyumba ni tatu
hapahapa kwa bashite. joto kali sana mkuu..Madili yapo mkuu uko wapi aisee
Wakija watakutana na bahari.Hapo sawa mkuu maana kuna kipindi nilikukosa nikavuta picha nikaunganisha dot nikajua huyu jamaa tiar wajeda washamzoa maana alikuwa anawatukana walipokufa