Piga simu hapa bila kutumia vocha hata mia yako

Halooo!habari hapo studio naitwa Aganza Dominick nikiwa kolomije salam zangu za kwanza zimuendee tedy akiwa kigoma za pili zi mwendee hamisi akiwa mwanza na za tatu ziende kwa kidawa akiwa kasulu ujumbe maisha ni kutafuta
 
Ogenza sio kutafutana
 
Hahaha sipo nchi ya watu wasiofahamika mkuu.
Hapo sawa mkuu maana kuna kipindi nilikukosa nikavuta picha nikaunganisha dot nikajua huyu jamaa tiar wajeda washamzoa maana alikuwa anawatukana walipokufa
 
Back
Top Bottom