Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unaweza kukubali kitu kutoka kwa mtu ambaye badala ya kukuita Chalii kama ID yako inavyoonekana anakuita Charii? Unaweza kweli kukubali?Hahaaa charii mbona huwa hamkubal ukweli aisee
Hivi unaweza kukubali kitu kutoka kwa mtu ambaye badala ya kukuita Chalii kama ID yako inavyoonekana anakuita Charii? Unaweza kweli kukubali?
Dah very sorryMimi ni aina ya wanaume wa mikoan mbere
Niwekee voucher nipe na simu ili nipigePiga cm mpendwa hii ni bahat ujue haij mara mbili
Kwenye harusi nikaitwa nitoe neno kwa niaba ya mzazi wa bibi harusi coz ye anakigugumizi,.......maamaa yangu!!!!Ulifanyaje mkuu
Labda useme Daslam sio ArushaMkuu acha kukwepeshwa arusha inaingia mara mbili kwa jiji kubwa kabisa la mwanza