Piga ua galagaza, hata bure siwezi kulala na binti wa uswahilini

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Haya haya habarini, kwa Dar nimeapa kwa nafsi yangu kuwa sitolala na mwanamke wa uswahilini hata akinipa bure. Never hata awe na sura nzuri na umbo kiasi gani, japokuwa ni wachache ndo wana sifa hizo. Kwanza wengi wachafu, much know, uncivilized n.k ila suala kubwa ni kuwa tu sitokaa nilale na mwanamke wa uswazi.

Temeke, Buguruni, Mwananyamala, Mbagala, Manzese n.k mwanamke kutoka mitaa hii hata namba yake sihitaji.
Maeneo hayo mengi yana harufu harufu mno hali inayosababisha na hao wasichana kuwa na hivyo viharufu harufu pia pamoja na sababu zingine nyingi.

Mwajuma, Fatu,mwanahamisi,ashura,hadija,mwanaisha,mwanabibi,fadhila,zai wanipitie mbali kwa jina la mungu.
 
Haya haya abarini.kwa dar nimeapa kwa nafsi yangu kua sitolala na mwanamke wa uswahilini hata akinipa bure.never hata awe na sura nzuri na umbo kiasi gani,japokuwa ni wachache ndo wana sifa hizo.kwanza wengi wachafu,much know,uncivilized n.k ila suala kubwa ni kua tu sitokaa nilale na mwanamke wa uswazi.

Temeke,buguruni,mwananyamala,mbagala,manzese n.k mwanamke kutoka mitaa hii hata namba yake sihitaji.
Maeneo hayo mengi yana arufu alufu mno hali inayosababisha na hao wasichana kuwa na ivyo viarufu alufu pia pamoja na sababu zingine nyingi.

Mwajuma,fatu,mwanahamisi,ashura,hadija,mwanaisha,mwanabibi,fadhila,zai wanipitie mbali kwa jina la mungu.
FaizaFoxy aipitie hiyo orodha yako ya majina. Yaani mimiamadiwenani hawataki kina MWAJUMA, Fartu, Hadija etc
 
Haya haya habarini, kwa Dar nimeapa kwa nafsi yangu kuwa sitolala na mwanamke wa uswahilini hata akinipa bure. Never hata awe na sura nzuri na umbo kiasi gani, japokuwa ni wachache ndo wana sifa hizo. Kwanza wengi wachafu, much know, uncivilized n.k ila suala kubwa ni kuwa tu sitokaa nilale na mwanamke wa uswazi.
Hivi walikuletea taarifa kuwa wanakupenda sana?
 
Haya haya habarini, kwa Dar nimeapa kwa nafsi yangu kuwa sitolala na mwanamke wa uswahilini hata akinipa bure. Never hata awe na sura nzuri na umbo kiasi gani, japokuwa ni wachache ndo wana sifa hizo. Kwanza wengi wachafu, much know, uncivilized n.k ila suala kubwa ni kuwa tu sitokaa nilale na mwanamke wa uswazi.

Temeke, Buguruni, Mwananyamala, Mbagala, Manzese n.k mwanamke kutoka mitaa hii hata namba yake sihitaji.
Maeneo hayo mengi yana harufu harufu mno hali inayosababisha na hao wasichana kuwa na hivyo viharufu harufu pia pamoja na sababu zingine nyingi.

Mwajuma, Fatu,mwanahamisi,ashura,hadija,mwanaisha,mwanabibi,fadhila,zai wanipitie mbali kwa jina la mungu.
Kwakweli wachache ndio wasafi na awa sio wa kupiga peku ni kwa kinga tena kwa matumizi sahihi kabisa maana magonjwa ya zinaa nje nje.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wanaume tuna kikao leo saa 7 mchana maana hili gono litatuua sasa
Hivi gono limerudi tena kwa wingi? Nakumbuka miaka ya nyuma hakuna mwanaume rijali ambaye alikuwa hajaugua gono. Infact vijana wakikaa sehemu kupiga story za wanawake na mmoja aseme hajaugua gono alikuwa anaokekana kama fala fulani. cc Mshana Jr Kuugua gono ilikuwa kama certificate ya uanaume uliokamilika.
 
Back
Top Bottom